Leo ni zamu ya Guinea na Cameroon, Morocco na Senegal, Azam Complex Chamazi

Lulu Ringo, Dar es Salaam Baada ya ufunguzi wa mashindano ya Afcon U-17 kuanza kwa mafanikio jana kwa timu ya Nigeria na Angola kwa ushindi kwenye kundi lao A ambapo Nigeria amemfunga Tanzania 4-1 na Angola amemfunga Uganda 1-0, mashindano hayo yanaendelea leo kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini hapa. Mechi za leo za kundi B mchezo wa awali majira ya saa kumi itazikutanisha timu za taifa la Guinea itapambana na Cameroon na mchezo wa pili utakaopigwa saa moja usiku utawakutanisha Morocco na Senegal. Mechi hizo zinasubiriwa kwa hamu...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News