Lissu ataja sababu za kurejea nchini Septemba 7 Mbowe akoleza ujio wake

Tundu Lissu ametosa sababu mbili za kuitumia siku ya Jumamosi ya Septemba 7 mwaka huu kurejea nchini baada ya kuwa nje kwa miaka miwili huku mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisema maandalizi ya ujio huo yameanza....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 22 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News