Lowassa ajibu madai ya kupongezwa na Kusifiwa mara Kwa Mara na CCM

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa zamani wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa amejibu madai ya kuonekana kiongozi pekee wa upinzani ambaye amekuwa akisifiwa mara kwa mara na viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM na serikali hali ambayo imeonekana kuzua sintofahamu kwa wadau wa siasa nchini. Akijibu madai hayo Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa amesema “kuhusu madai ya mimi kusifiwa na viongozi wa serikali na CCM, naacha wananchi wahukumu na mimi naamini nina nia njema na nia njema itaendelea kuwepo, anayetaka kufikiria hivyo ni hiyari yake, huwezi kumnyima...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News