Lowassa ameniumiza – Mbowe

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesikitishwa na hatua ya “waziri mkuu mstaafu,” Edward Lowassa, kukihama chama hicho. Anaripoti Hamisi Mguta … (endelea). Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa, tarehe 14 Machi, mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe, amesema kuwa kitendo cha Lowassa kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimemsikitisha ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News