Lugola aagiza maofisa polisi mkoani Geita kusimamishwa kazi

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ametoa siku mbili kwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo kuwasimamisha kazi mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Geita, kaimu mkuu wa upelelezi  na mkuu wa kituo cha polisi wilayani humo kwa kutowachukulia hatua askari waliosababisha mahabusu kutoroka...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 24 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News