Lugola awashukia wanaoponda ujio wa ndege mpya

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema kuwa ujio wa ndege mpya za kisasa utaongeza hali ya amani na usalama katika viwanja vya ndege kwa kuimarisha mifumo mbalimbali ya usalama.Ameyasema hayo jijini Dar es salaam jana mara baada ya kuwasili kwa ndege mpya, ambapo amesema kuwa ujio wa ndege hizo utaimarisha huduma za usafiri wa anga ndani na nje ya nchi, kitu ambacho kilikosekana kwa muda mrefu.”Ujio wa ndege hizi kwanza kabisa utakuwa kivutio kwa watalii, ambapo naimani kabisa idadi yao itaongezeka baada ya kuwa na usafiri wenye uhakika,...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News