Lukuvi aweka rekodi akiifumua ardhi

ELIZABETH HOMBO-DAR ES SALAAM UAMUZI unaofanywa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi katika wizara anayoingoza, ni wazi umekuwa ukimjengea sura mpya kila kukicha. Lukuvi, ambaye ni miongoni mwa mawaziri waliokaa kwa muda mrefu katika wizara hiyo pasipo kukumbwa na mabadiliko aliyoyafanya Rais John Magufuli mara kadhaa, anatofautishwa na wengine kutokana na uamuzi wake, ikiwamo kufuatilia, kuwahamisha na hata kuwasimamisha kazi watumishi wanaodaiwa kuwa chanzo cha migogoro ya ardhi. Waliokumbana na makali yake ni wale wanaotajwa kutokuwa waaminifu, walarushwa, kwa maana ya waliozoea fedha za ‘dili’...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News