Lundo la barua lamiminika Ikulu

Na BENJAMIN MASESE – MWANZA OFISI ya Rais-Ikulu imesema inapokea malalamiko na barua nyingi kutoka kwa wananchi na watumishi wa umma yanayoshughulikiwa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kitendo ambacho ni utovu wa nidhamu na ukiukwaji wa sheria. Akizungumza mjini hapa juzi kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi wa kati akifunga mkutano wa kazi wa siku mbili kwa makatibu tawala wasaidizi wa mkoa, makatibu tawala wilaya, wakuu wa idara ya utawala na rasilimali watu na wanasheria wa mamlaka za Serikali za Mitaa kutoka mikoa ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 16 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News