Maajabu ya watekaji waliomrudisha MO

Na Waandishi Wetu, DAR ES SALAAM WINGU zito bado limetanda juu ya aina ya watu waliomteka mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji ‘Mo’, kisha kumwachia kwa kumtelekeza usiku wa manane wa kuamkia jana viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam. Watekaji hao ambao bado hawajanaswa na vyombo vya dola, namna walivyomrudisha Mo na hata kufika katika eneo hilo la Gymkhana ambalo lipo katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ni jambo ambalo tayari limezua mjadala. Eneo la Gymkhana alilotelekezwa Mo mbali na kuwa karibu na ufukwe wa Bahari ya Hindi, hatua chache...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 21 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News