Maalim Seif ahamia rasmi ACT-Wazalengo

MAALIM Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) leo tarehe 18 Machi 2019 ametangaza rasmi kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). “Hatua tunayochukua leo ya kuhamia ACT-Wazalendo ni ya kihistoria. Umma haujawahi kushindwa dunaiani kote. Na umma wa Watanzania hautashindwa. ShushaTangaPandishaTanga Safari iendelee,” Maalim Seif. Habari zaidi zitakujia.....

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 18 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News