Maalim Seif ‘apiga hodi’ ACT Wazalendo

ANDREW MSECHU -DAR ES SALAAM KAMATI Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, imekutana Dar es Salaam huku mjadala wa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad ukitawala katika kikao hicho. Hatua hiyo inatokana na kuwepo kwa taarifa za ndani ya chama hicho kukutana na kuweka mkakati wa namna ya kumshawishi Maalim Seif ili kujiunga nao. Taarifa za ndani zinaeleza hatua ya kukutana kikao hicho inatokana na uamuzi wa Profesa Ibrahim Lipumba kuitisha mkutano wa uchaguzi huku taarifa za kung’olewa Maalim Seif ndani ya CUF zikitawala. Chanzo...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News