MAALIM SEIF AKARIBISHWA CHADEMA URAIS 2020

*Watangaza mikakati ya kujiunga naye pamoja na wabunge wake *CUF wapinga, wasema hana mpango wa kujiunga na chama kingine Na ELIZABETH HOMBO,DAR ES SALAAM Baraza la Wazee wa Chadema limemkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad kuwania urais mwaka 2020 kupitia chama hicho kikuu cha upinzani nchini. Lakini CUF upande wa Maalim Seif, wamesema kwa sasa na mwanasiasa huyo mkongwe hana nia ya kujiunga na chama kingine na wanaamini kesi yao watashinda na chama chao kitakuwa imara zaidi. Akizungumza na waandishi wa habari jana...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News