Maalim Seif amjibu Msajili Vyama vya Siasa

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharrif Hamad, amesema sheria aliyotumia Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, kuwaonya waliokuwa wanachama wa chama hicho waliochoma bendera na kadi za chama hicho, haipo. Maalim Seif amesema hayo leo Jumatano Machi 20, wakati akihojiwa na Maria Sarungi katika mtandao wa Kwanza TV, akirejea tamko la Jaji Mutungi alilolitoa jana akiwaonya wanachama hao waliohamia Chama cha ACT-Wazalendo, pamoja Maalim Seif. “Msajili anasema tumevunja sheria, sheria ipi, tunavyojua kuna sheria iliyopitishwa lakini hadi sasa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 20 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News