Maalim Seif kuhamia ACT; Samani za CUF Unguja, Pemba ‘zatekwa’

UAMUZI wa Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) kuhamia Chama cha ACT-Wazalendo umekwenda sambamba na kubebwa kisha kutokomea kwa samani zilizokuwepo kwenye Makao Makuu ya Ofisi ya CUF, Mtendeni visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Kwenye ofisi hizo tayari samani mbalimbali zimetolewa ikiwemo meza, viti na vitu vingine ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 18 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News