Maalim Seif kuibuka upya tena leo?  

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), yuko mbioni kuondoka chama hicho na kujiunga na moja ya vyama viwili vikubwa vya kisiasa nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Maalim Seif, aweza kuondoka CUF kufuatia serikali ya Chama Cha Mapinduzi, kufanikiwa kumtumia Prof. Ibrahim Lipumba, kumng’oa ndani ya chama hicho. Taarifa kutoka kwa watu waliokaribu na ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Sunday, 17 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News