Maambukizi ya Ukimwi yapungua nchini

RAMADHAN HASSAN-DODOMA UTAFITI wa viashiria na matokeo ya Ukimwi wa mwaka 2016/17 unaonesha kwamba kiwango cha maambukizi ya VVU yamepungua kwa asilimia moja kutoka asilimia 5.1 mwaka  2011-2012 mpaka asilimia 5.0 kwa mwaka 2016/17. Hayo yalimesemwa jana jijini hapa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu, Ajira, Kazi,Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama,  wakati akizindua utafiti huo. Alisema utafiti huo unaonesha kwamba kiwango cha maambukizi ya VVU kwa watu wenye umri wa miaka 15-64 umepungua kwa asilimia moja kutoka asilimia 5.1 mwaka 2011-2012 na kufikia  asilimia...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News