Maandalizi ya Msimu wa Utalii Visiwani Zanzibar Yakiaza Kwa Msimu Mpya Zanzibar.

Wafanyabiashara wa Utalii Zanzibar wakiwa katika maandalizi ya msimu huo kwa kuzifanyia ukarabati boti zinazotoa huduma ya usafiri katika Visiwa vya Historia ya Zanzibar, kama walivyokutwa wakiwa katika zoezi hilo la kuzifanyia ukarabati wa kupata rangi na kuzikalafati katika ufukwe wa pwani ya forodhani Zanzibar....

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News