Mabeyo: Tuko hatua ya mwisho kuisimamisha Mv Nyerere

Shughuli ya kukinyanyua kivuko cha Mv Nyerere kilichozama Septemba 20,2018 na kusababisha vifo vya watu 227 na manusura 41, inaendelea na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo amesema ipo hatua ya mwisho kuhakikisha kinasimama...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 25 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News