Madereva wa mabasi makubwa waiburuza Sumatra mahakamani

Chama cha Madereva Tanzania (Uwamata), kimeiburuza mahakamani Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu (Sumatra), pamoja na mambo mengine wakipinga hatua ya mamlaka hiyo kuwatoza faini kubwa,   kuwakamata na kuwanyang’anya leseni kinyume cha Sheria ya Usalama Barabarani....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 14 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News