Madereva wa wa Mabasi mwendokasi Dar wakimbia na funguo

Kampuni inayotoa huduma ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam (UDART) hatimaye imetoa ufafanuzi kuhusiana na vurugu zilizotokea leo katika kituo cha mabasi hayo cha Kimara jijini Dar es salaam, baada ya kukosekana kwa usafiri huo kwa takribani masaa 3.Msemaji wa UDART Bw. Deus Bugaywa amesema chanzo cha tukio hilo ni hujuma zilizofanywa na baadhi ya madereva mishale ya saa 9 alfajiri, baada ya kuziba lango kuu la kutokea magari upande wa mbele pamoja ya hali kadharika wa nyuma kwa kuegesha mabasi yenye urefu wa mita18 na kusababisha usumbufu...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Wednesday, 10 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News