Maelfu ya mashabiki wa Manchester City wamuaga Kompany

London, England. ya Maelfu mashabiki wa klabu ya Manchester City wamejitokeza mitaani kumuaga nahodha wao Vincent Kompany. Kompany alitumia fursa ya mapokezi yao katika mitaa ya Manchester na London kutoa neno la mwisho baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa miaka 11. Nguli huyo mwenye miaka 33, anaondoka Man City baada ya kucheza kwa mafanikio makubwa tangu alipojiunga na klabu hiyoa mwaka 2008 akitokea Hamburg ya Ujerumani. “Nataka niwaambie jinsi nilivyokuwa na furaha. Siwezi kujutia uamuzi wangu. Nimeipa klabu kila kitu, kudumu ndani ya klabu miaka 11 ni safari ndefu. Hatukuwa...

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Tuesday, 21 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News