Maeneo yaliyotwaliwa na JWTZ yameanza kulipwa – Waziri Mwinyi

MBUNGE wa Mtambile, Masoud Salim (CUF) ameihoji Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lini italipa fidia wananchi waliotwaliwa maeneo yao na Jeshi la Wananchi (JWTZ). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 15 Mei 2019, Salim amehoji kwa nini serikali imejikita katika utekeleza ji wa ujenzi wa miradi ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 15 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News