Mageuzi Sekta ya Uvuvi Pangani na Viongozi Wakutana na Waziri Mhe. Mpina Jijini Dodoma.

 MKUU wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa kulia akiwa na Katibu Tawala wa wilaya ya Pangani wakimsubiri Waziri wa Uvuvi na Mifugo Mh. Luhaga Mpina kufanya nae kikao ikiwa ni mpango mkakati wa kufanikisha changamoto na utekelezaji wa ubunifu katika sekta ya uvuvi inayoongoza kwa mapato na kutegemewa na wakazi wengi wa Pangani kulia ni Afisa Tawala wa wilaya ya Pangani GipsonWaziri wa Uvuvi na Mifugo Mh. Luhaga Mpina kulia akimlaka Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa wakati alipofika ofisini kwake kwa mazungumzo kufanikisha changamoto na utekelezaji wa ubunifu...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News