Magufuli amtumbua bosi wa Dart, abatilisha uamuzi dakika 10 baadaye

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo amezungumza na waandishi wa habari akieleza uamuzi aliouchukua Rais Magufuli wa kutengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Dart, Ronald Lwakatale lakini dakika 10  baadaye akabatilisha uamuzi huo...

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 10 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News