Magufuli atoa siku saba kwa wizara ya ujenzi, Tanroads

Mwanza. Rais wa Tanzania, John Magufuli ameipa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) muda wa wiki moja kuanzia Julai 15, 2019 kutia saini makubaliano ya mkataba wa ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi lenye urefu wa kilomita 3.2....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 15 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News