Magufuli atoa siri ya kumteua meneja wa darasa la saba

Rais John Magufuli katika utawala uliopita wa awamu ya nne chini ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete akiwa waziri wa ujenzi na uchukuzi aliwahi kumteua mtu mwenye elimu ya darasa la saba kushika wadhifa wa Meneja wa Tamesa mkoa wa Kagera kutokana na kuwa na uwezo kuliko wenye elimu ya shahada....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News