Magufuli awajia juu Tanesco, awataka kuwathamini wabunifu

Mwandishi wetu – Dar es salaam Rais John Magufuli amelijua juu Shirika la umeme nchini (Tanesco) kwa kushindwa kuwaunga mkono wabunifu waliobuni mtambo mdogo wa kufua umeme kwa kutumia maji ya mto Mkoani Njombe, na kuwataka kuwalipa wabaunifu hao fedha watakazozitumia kama kianzio cha kununua vifaa kwaajili ya shughuli zao. Ametoa tamko hilo leo Alhamisi Juni 13, Ikulu jijini dare s salaam alipokua akizungumza na wananchi hao John Mwafute maarufu Mzee Pwagu na Ngairo ambapo ameamuru shirika hilo kuondoka na wabunifu hao haraka iwezekanavyo na kwenda kukagua mradi huo ili...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News