Magufuli awaonya watumishi wanaoenda kutibiwa nje

Anna Potinus Rais John Magufuli amemtaka Waziri wa Afya Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kuanza kudhibiti matumizi ya watumishi waokwenda nje ya nchi kwaajili ya matibabu kwakua wengi wao hutumia fursa hiyo ili kujipatia safari na kwenda kutalii. Ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Julai 15, wakati akizungumza na wananchi katika hafla ya uzinduzi wa miradi saba ya maendeleo ya huduma za tiba katika hospitali ya rufaa ya Bugando Mkoani Mwanza ambapo amesema kuwa hakuna sababu ya kwenda nje wakati magonjwa hayo yanatibika hapa nchini. “Kupeleka wagonjwa nje kwa Watanzania...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 15 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News