Magufuli: Mnisamehe

*Wasomi wahamaki NA MWANDISHI WETU KATIKA kuonesha kuwa anajali umuhimu na masilahi ya elimu nchini, Rais Dk. John Magufuli mwishoni mwa wiki iliyopita, aliwataka wasomi wamsamehe kutokana na hatua yake ya kuwateua kwa wingi viongozi na wahadhiri wao. Akiwa ndani ya ukumbi wa mikutano wa Nkrumah, uliopo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), wakati wa mdahalo wa miaka mitatu ya uongozi wake, Rais alisema ameamua kuwateua wasomi wengi kwenye serikali yake kwa kuamini kuwa watamsaidia. “Mnisamehe  sana kwa kuendelea kuteua viongozi wenu wengi kutoka kwenye vyuo vikuu. Hata jana...

read more...

Share |

Published By: Rai - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News