Mahakama ya Tanzania yaweka mhuri wa mwisho Bageni anyongwe hadi kufa

Mahakama ya Rufani imetupilia mbali maombi ya marejeo ya aliyekuwa Mkuu Upelelezi wa Wilaya ya Kinondoni (OC-CID), Dar es Salaam nchini Tanzania, Mrakibu wa Polisi (SP) Christopher Bageni aliyehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa, ambaye alikuwa akiomba Mahakama hiyo ibadilishe uamuzi wake....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Wednesday, 14 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News