Mahakama Yasogeza Mbele Hukumu ya Mgogoro Wa Lipumba na Maalim Seif Ndani ya CUF

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeshindwa kutoa hukumu ya mgogoro wa uongozi ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) na badala yake imeisogeza mbele hadi Machi 17, 2019.Hukumu hiyo ilitarajiwa kutolewa leo Ijumaa, Februari 22, 2019 na Jaji Benhajj Masoud aliyekuwa akiisikiliza kesi iliyofunguliwa na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wadhamini  wa chama hicho. Hukumu hiyo imeahirishwa na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Sharmillah Sarwatt.Akiahirisha hukumu hiyo Naibu Msajili, Sarwatt amesema Jaji Masoud ambaye alitarajiwa kuisoma anakabiliwa na majukumu mengine.“Hivyo nina ahirisha usomaji wa hukumu hii hadi Machi...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Friday, 22 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News