Maiti yazini na mfanyakazi wa Mochwari

HASSAN DAUDI NA MITANDAO DUNIA haiishi mambo, kila uchwao yanaibuka mambo mapya na mazito yanayofurahisha na wakati mwingine kuhudhunisha. Yapo mataifa hayaishi mambo kutokana na ukubwa wake ama kwa sababu ya kukua kwa teknolojia yake. Ukuaji wake huo husababisha wananchi wake kufanya vituko vingi kupitiliza. Hufanya hivyo kwa nia ya kutaka kuona matokeo ya hicho wanachokifanya. Mataifa yaliyoendelea hasa Marekani huongoza kwa vibweka na vimbwanga hivyo vinavyoishangaza dunia. Moja ya vimbwanga hivyo ni hiki kilichofanywa mwaka 2012 na mwanamama Felicity Marmaduke raia wa Marekani. Mwanamama huyo anayefanya kazi kwenye...

read more...

Share |

Published By: Rai - Thursday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News