Majaliwa atoa maagizo kwa wizara ya kilimo kuboresha zao la mchikichi

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameiagiza wizara ya kilimo iwawezeshe watafiti katika kituo cha utafiti cha zao la michikichi cha Kihinga mkoani Kigoma ili waweze kuongeza kasi ya uzalishaji wa mbegu bora za zao hilo....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 17 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News