Majaliwa: Tutumie mwezi wa Ramadhani kudumisha amani

Elizabeth Joachim, Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka Watanzania watumie mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kudumisha amani, mshikamano na kuwaombea viongozi wa kitaifa. Katika taarifa iliyototewa na Ofisi ya Waziri Mkuu, leo Mei 25 Dodoma, imeeleza kwamba Majaliwa amesema hayo jana aliposhiriki hafla ya futari iliyoandaliwa na benki ya NMB iliyofanyika mjini hapo. ‘’Mwezi huu tuna majukumu makubwa ya kufanya ibada, kutubu dhambi zetu, kuomba rehma kwa Mwenyezi Mungu, kudumisha mshikamano na kuwa wavumilivu na kila mwananchi aendelee kuliombea Taifa lizidi kudumisha amani na mshikamano. Aidha Majaliwa ameipongeza...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 25 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News