Majambazi 7 Watiwa Mbaroni Jijini Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam liimefanikiwa kukamata bastola aina ya FATIN 13- TURKEY yenye namba T.0622010J00535 ikiwa na risasi tisa ndani ya magazine huko maeneo ya Tangi-Bovu Mbezi.Taarifa ya polisi inasema tarehe 04/07/2019, majira ya saa nne na nusu usiku kikosi maalum cha kuzuia na kupambana na majambazi kilifanikiwa kumkamata Michael Nina@Stellu (27) Mkazi wa Tangi-Bovu akiwa na silaha hiyo ambayo inasadikiwa kutumika katika matukio ya kihalifu maeneo mbalalimbali ya jiji.Katika mahojiano na Jeshi la Polisi mtuhumiwa anakiri kupewa silaha hiyo na mwenzake ambaye hamfahamu kwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News