Majanga Yazidi Kumwandama Mbowe.....DC Lengai Ole Sabaya Ampokonya Kiwanja Chake

Siku chache baada ya kutoka mahabusu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amekumbana na pigo lingine baada ya uongozi wa Wilaya ya Hai kutangaza nia ya kupoka kiwanja chake.  Jana, uongozi wa wilaya hiyo ulitangaza kuwa tayari umeshawasilisha kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, ilani ya ubatilisho wa umiliki wa wamiliki 34 wa viwanja vilivyoko eneo la maendelezo ya viwanda la Weruweru wilayani Hai.Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, alidai wameamua kuchukua hatua hiyo kutokana na wamiliki wa viwanja...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News