Majeruhi 13 ajali ya moto waliolazwa Muhimbili hawajitambui, waliofariki wafikia wanane

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Majeruhi 13 kati ya 38 walionusurika katika ajali ya moto mkoani Morogoro waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), hali zao zinadaiwa kuwa mbaya na wamelazwa katika Chumba cha wagonjwa Mahututi (ICU) wakiwa hawajitambui Kwa mujibu wa taarifa ya Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma hospitalini hapo, Aminieli Aligaesha, wagonjwa hao wako ICU wakiwa hawajitambui huku 25 wakiwa wanaendelea vizuri na waliofariki hadi sasa ni wanane. “Hadi leo Agosti 13, hiyo ndiyo idadi ya wagonjwa waliolazwa MNH, na wale ambao wamefariki tayari miili yao...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News