Makabila mchanganyiko kikwazo cha usafi Dar – Meya Moshi

MEYA wa Halmashauri ya Mji Moshi, Raymond Mboya amesema, mchanganyiko wa makabila katika Jiji la Dar es Salaam ni miongoni mwa vikwazo katika kutatua kero ya usafi. Anaripoti Hamis Mguta … (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI Online ofisini kwake Moshi, Mboya ambaye ni Diwani wa Kata ya Longuo amesema, mji huo umefanikiwa kuwa msafi kutokana na elimu ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Tuesday, 14 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News