Makalla atumbuliwa, Homera achukua nafasi yake

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Rais Dk. John Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Amos Makalla na badala yake amemteua Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Juma Homera kushika nafasi yake. Taarifa kutoka Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu iliyotolewa leo Mei 14, imesema uteuzi wa Homera unaanza leo. Aidha taarifa hiyo imesema uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru utafanyika hapo baadaye. ...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 14 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News