MAKAMBA AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI WA TANZANIA BARA NA ZANZIBAR KUJADILI MASUALA YA MUUNGANO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akiongoza kikao kazi ngazi ya Mawaziri kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ). Pamoja na mambo mengine kikao hicho kimejadili masuala ya Muungano ikiwa ni kikao cha utangulizi kabla ya kikao cha Kamati ya Pamoja kitakachoongozwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Kikao hicho kimehudhiriwa pia na Manaibu Waziri na Makatibu Wakuu wa Tanzania Bara na ZanzibarWaziri Afya,...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 10 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News