Makambo ameshindikana

STRAIKA wa Mbeya City, Eliud Ambokile ndiye anayeongoza kwa mabao katika Ligi Kuu akiwa amecheka na nyavu mara tisa, akiwafunika nyota wa Simba na Yanga, lakini anakiri hakuna mchezaji anayempasua kichwa kama Mkongomani, Heritier Makambo akidai jamaa ameshindikana kwa kasi yake ya kutupia....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Wednesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News