Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Azungumza na Ujumbe wa Wafanyabiashara Kutoka Jimbo la Shadong Nchini China.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Kulia akifanya mazungumzo na Ujumbe wa Viongozi wa Wafanyabiashara kutoka Jimbo la Shadong Nchini china Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.Baadhi ya Viongozi wa Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Manispa ya Jimbo la Shadong ukimsikiliza Balozi Seif katika mazungumzo yao yaliyojikitazaidi katika masuala ya Uwekezaji.Meya wa Manispa ya Jimbo la Shadong Bwana Zhaogang Wang akimueleza Balozi Seif azma ya Wawekezaji wa Jimbo lake kutaka kutumia fursa za Uwekezaji zilizopo Visiwani Zanzibar.Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Viongozi...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 9 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News