Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Akiweka Jiwe la Msingi Skuli ya Maandalizi Maziwang’ombe Mkoa wa Kaskazini Pemba

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akifungua pazia kuashiria kuweka jiwe la msingi la Skuli ya Maandalizi ya Maziwang’ombe iliyopo Micheweni Mkoa Kaskazini Pemba.(Picha na OMPR) Na.Othman Khamis OMPR.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Jamii inalazimika kuwaandaliwa Elimu ya Maandalizi Watoto kwa lengo la kuwajengea msingi mzuri utakaowawezesha kuingia kwa kujiamini katika elimu ya sekondari na vyuo hatimae kuwa Watumishi bofa walioelimika vyema.Alisema Taifa linahitaji Wataalamu Wazalendo watakaoivusha Nchi hii katika mpito wa kuingia katika mabadiliko makubwa ya Sayansi na...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 11 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News