Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Aondoka Nchini Leo Kuelekea Nchini China Kuhudhuria Maonesho ya 15 ya Biashara ya Kimataifa Katika Mji wa Guangxi Jimbo la Guangzhou.

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Sief Ali Iddi akisalimiana na kuagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar , akielekea Nchini China kuhudhuria Maonesho ya Biashara ya 15 ya Kimataifa.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi wakiagana na Viongozi mbali mbali wa Serikali na Vyama vya Siasa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar akielekea China kuhudhuria Maonyesho ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News