Makamu wa Rais Alitaka Jeshi la Polisi Kumkamata Anayetumia Jina Lake Kuwatapeli Wananchi

Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu ameagiza kukamatwa mara moja baadhi ya watu wanaotumia jina lake na kuwadanganya wananchi kwa kuwachangisha fedha ili wapate Sh50 milioni zilizoahidiwa katika kampeni za uchaguzi Mkuu 2015. Kauli hiyo imekuja siku moja mara baada ya makamu huyo wa Rais kusema fedha hizo zitatumika katika miradi mbalimbali ya maendeleo na sio kupewa wananchi moja kwa moja kama walivyoahidi awali. Ameyabainisha hayo leo Septemba 11, wakati akizungumza na wananchi, viwanja vya Soweto katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Munzeze wilayani hapa mkoani Kigoma mara baada...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News