Makamu wa Rais awaonya wanaotumia jina lake kutapeli Sh 50 milioni za JPM

Makamu wa Rais, Samia Hassan Suluhu ameagiza kukamatwa mara moja baadhi ya watu wanaotumia jina lake na kuwadanganya wananchi kwa kuwachangisha fedha ili wapate Sh50 milioni zilizoahidiwa katika kampeni za uchaguzi Mkuu 2015....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News