Makamu wa Rais Awataka Viongozi wa Dini Wahubiri Amani, Wajiepushe na Migogoro na Wasichanganye Dini na Siasa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inatambua mchango wa madhehebu ya dini katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.Makamu wa Rais ameyasema haya jana wakati wa sherehe za kusimikwa wakfu wa Askofu Mkuu Msaidizi pamoja na Maaskofu wanne wa majimbo wa Kanisa la Pentekoste Motomoto, Mwanga mkoani Kigoma.“Serikali imeweka mazingira rafiki kwa madhehebu ya dini nchini kuweza kutoa huduma za kijamii hususan elimu na afya” alisema Makamu wa Rais.Makamu wa Rais amesisitiza umuhimu wa kanisa kujiepusha na migogoro ya kiutawala ndani ya Kanisa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News