MAKAMU WA RAIS, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA MAZISHI YA MTOTO WA WAZIRI KIGWANGALLA

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akifariji Waziri wa Maliasi nac Utalii Tannzania Mhe.Dkt. Hamis Kigwangalla, kwa kufiwa nac Mtoto wake.alipofika kuhudhuriac msiba Kijiji cha Puge Nzega.  TABORA. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan  ameongoza  shughuli za  mazishi  ya  Zulqarinain mtoto wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Hamisi Kigwangalla  yaliyofanyika leo Ijumaa Februari 22, 2019 saa kumi jioni katika kijiji cha Puge,  Nzega vijijini jimboni kwa Waziri Kigwangalla.Mazishi hayo yamehudhuriwa na   viongozi mbalimbali wakiwemo baadhi ya Mawaziri, Manaibu Waziri...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 22 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News