Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan Awajibu Wanaohoji Ulinzi wa Rais Magufuli

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amewashangaa wanasiasa wanaohoji ulinzi wa Rais John Magufuli, badala ya kuhoji maendeleo yanayofanywa na serikali.Samia amesema kwa kazi kubwa inayofanywa na Rais Magufuli wasiofurahia wanaishia kuzungumza vitu visivyo na msingi huku akidai kwamba watu hao wamefilisika.Makamu wa Rais ameyasema hayo jana Jumamosi Aprili 13, 2019 wakati wa hafla ya uzinduzi wa mji wa kiserikali uliopo Ihumwe mkoani Dodoma unaofanywa na Rais Magufuli. “Nilisikiliza dondoo za magazeti na kusikia mtu anahoji kuhusu ulinzi wa rais, nikajiuliza anahoji ulinzi ili iweje kwa nini asitumie muda huo kuhoji...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 14 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News