Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Aendelea na Ziara Yake na Kuhutubia Mkutano wa Hadhara Kata ya Kazuramimba.Mkoani Kigoma.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipungia wananchi wakati alipokuwa akiwasili kwenye uwanja wa mkutano tayari kuhutubia mkutano wa hadhara jana jioni katika kata ya Kazuramimba,wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Wananchi wa Kata ya Kazuramimba.Mkoani Kigoma wakati wa mkutano wa hadhara na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu kabla ya kuhutubia mkutano huo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Wakazi wa mkoa wa Kigoma kupima...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News